WAREMBO KAZI KWENU..!! FAHAMU JINSI YA KUMTONGOZA MWANAUME ALIYEKUVUTIA ILI AWE WAKO

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjKoYX1RGxh1peOSqvhORxh5-p78O4Wjrqf9h3xPPsRUkTfV0186ZIxd39D_baDzTOOdLFh5qARDuwOP9QlPX5GTKYZhMu7nxA-fpdsyJbnl98eGCErhCdne8fnfgmzm2MP4VuVwQit4CI/s640/JINSI.jpg
WANAWAKE wakiwapenda wanaume hubaki na mateso mioyoni mwao. Hii ni kwa sababu ni vigumu kumtokea mwanaume moja kwa moja kumwaga sera kuwa unataka ‘akung’oe’.

Ni kweli kwamba, hata kama mwanaume akimkubali mwanamke awe mpenzi wake baada ya kutokewa, imani yake huwa hafifu kuhusu penzi la kweli la mwanamke huyo. Anaweza kumtumia kwa siku kadhaa kisha akamwacha. Huo ndiyo ukweli.
Wanawake waliowahi kuwatokea wanaume wanaweza kuwa na ushahidi mzuri zaidi juu ya hilo. Pamoja na hayo yote, bado mwanamke anabaki kuwa binadamu, mwenye hisia za upendo na kutamani baadhi ya vitu.
 
Anaweza kumpenda mwanaume na ni haki yake ya msingi kabisa. Kuwa katika uhusiano na mtu unayempenda kwa dhati ni jambo zuri. Moyo huridhia na kuwa huru katika uhusiano huo. Hapa katika Let’s Talk About Love tunakupa dondoo zitakazokusaidia kumsogeza mwanaume ambaye BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: