VIDEO 3 KALI ZA MASTAA BONGO..!! JIONEE JINSI JOKATE, LULU NA PENNY WAKIFANYA YAO HUKO INSTAGRAM NI SHIDAAA..


 

Hizi ni SHOT  KLIP  za  video ambazo mastaa wa kike wa hapa bongo wameziachia huko kwenye mtandao wa INSTAGRAM kwaahili ya ma-Fans wao....Jokate Mwegelo  aka Kidoti, (anaonyesha mashauzi yake  nakuzugumza KIZUNGU-Mimi sijui  wewe msikilize tu)..

Elizabeth Michael aka Lulu (Huyu mtoto kama kawa anapenda mziki huyo-humu anaimba na kuchezesha kishwa kwa mbwembwe akiwa na tabasamu TAMU....Penny (Huyu  ana kupiga KISS na anakwambia uwafuate walipo -yupo na rafiki yake-Kwaunde wangu hii mimi ndio nimeipenda)....ENJOY UDAKU mtu wangu...

BONYEZA PLAY KUCHEKI VIDEO HIZO
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: