BONGO MOVIE KUNANIII..!! MSANII MWINGINE YUKO MAHUTUTI KITANDANI, SOMA HAPA KUJUA

Msanii wa bongo movies ambaye ni mzazi mwenzie na muimbaji wa dansi Chaz Baba, Sajenti hivi majuzi alilazwa na alikuwa katika hali mbaya lakini kwa uwezo wa Mungu na dua watu alifanikiwa kupona na sasa anaendelea vizuri.

moja ya maombi ya wasanii wenzake
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: