MTANGAZAJI PENNY, EX-GIRLFRIEND WA DIAMOND YUKO HOI KITANDANI AKISUMBULIWA NA ASTHMA

Ni siku ya tatu sasa yule mtangazaji wa Radio mpya ya EFM na ex-girfiend wa Diamond Platnumz , DJ Penny akisumbuliwa na ugonjwa wa Asthma  na hali yake kwasasa bado haijawa nzuri.
Kwasasa penny anasaidiwa kupumua kwa mashine kutokana na Asthma hiyo kufika pabaya.

Mungu amsaidie DJ Penny aweze kupona mapema na arudi akiwa mwenye  afya njema
CREDIT : VIBE
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: