HAKUNA MTU MWEMBAMBA DUNIANI, HII NI KAULI YA MSANII RAY C..MTAZAME HAPA KABLA NA BAADA YA KUNENEPA

Mwanadada RAY C kwa mshangao mkubwa amekili kuwa hakuna mtu mwembamba dunia....Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM, 
aliweka picha yake ya zamani alipokuwa  KIPOTABO na kuandika kwa mshangao kuwa haka kabinti kamenenepa.....
Kwasasa mwanadada huyo amenenepa ile mbaya...na KITAULO kimekolea....

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: