MSANII AMANDA YAMKUTA MAKUBWA KAMA YALE YALIYOMKUTA MAREHEMU RECHO..SOMA HAPA KUJUA NINI KILICHOMKUMBA

MMWIGIZAJI mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’ ameamka na kushtuka akiwa amechanjwa chale na watu wasiojulikana kama alivyowahi kufanyiwa marehemu Recho.
Mwigizaji mwenye figa ya aina yake Bongo Movie, Tamrina Posh ‘Amanda’.
Akizungumzia tukio hilo, Amanda alisema lilitok
ea siku ambayo dairekta mkongwe nchini George Tyson alipofariki dunia (Mei 30) ambapo hakujua ni nani aliyemfanyia ‘unyambilisi’ huo usiku kwani alishtuka asubuhi na kuona akivuja damu zikiashiria kuchanjwa kwa wembe.
Marehemu Recho Haule enzi za uhai wake.
“Nilijikuta nimechanjwa lakini Mungu ni mwema, waliofanya hivyo kama walikuwa na nia mbaya, wameshindwa kwani nilikwenda kuombewa kanisani halitanipata lolote,” alisema Amanda. -GPL
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: