DUU KWELI PESA NDIO SABUNI YA ROHO..!! MTAZAME OMMY DIMPOZ AKIWA AMEVAA VIATU VYA THAMANI KUBWA MNOO..

Na hii inatokana na mambo kuanza kumuendea Supa Ommy kwa kukamata Madili ya Pesa nyingi, kupelekea kumiliki Vitu vya Gharama zaidi.
Kweli sasa tunaanza kuona Mafanikio ya Bongo Fleva!!

0 comments: