IRENE UWOYA AWEKA WAZI VIGEZO VYA MWANAUME ANAYETAKA KUWA MPENZI WAKE..SOMA HAPA KUJUA
Sina uhakika
kama mapenzi ni machaguo au ni zali na hayana formula, of course mimi
sio mtaalam wa saikolojia na mahusiano. Ila naamini kati ya hayo kuna
jibu.
Muigizaji wa
kike mwenye umbo matata na sura yenye mvuto, Irine Uwoya ana machaguo
yake na ameweka wazi sifa za mwanaume ambaye anaweza kumvutia/kutamani
kuwa nae.
“Awe kijana mzuri asiye na kitambi.” Uwoya ameliambia jarida la VibeTz lililotoka leo.
Hata hivyo, mrembo huyo mtoto mmoja ameshanyakuliwa na Msami ndio mwenye bahati.
Uwoya
hakusita kujivunia mkwanja alionao. Aliambiwa kuchagua kwa sasa kati ya
umaarufu na mtonyo alichagua umaarufu na kueleza kuwa ‘mtonyo anao
mwingi tu’.
credit;swahilitz
0 comments: