BAADA YA SAKATA LA MH KOMBA NA PICHA ZA UTUPU, MREMBO SENTAH NAYE ATIA NENO LAKE JUU YA SUALA HILO



  Sinta amefunguka haya hapo chini kupitia blog yake
"Kwakweli watu wakikuamulia wamekuamulia aisee, picha hizi ni za uzushi na zimetengenezwa wanataka kumchafua Mh Komba, hivi uko chumbani na baby wake wewe uvae khabga yeye awe na shirt badala ya vest kama kweli mko wenyewe kimahaba? Khaa eti na mabusu juu inamaana Mh alikuwa anaona picha zinapigwa na yeye akauchuna?? maana ni picha za kujiandaa haswa 
Pole sana Mh Komba tupo na wewe katika hili kuhakikisha uko salama salmini na haya majitu ya kutengeneza pics fake......"
CREDIT;swahilitz 
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: