YULE MSANII ALIYETANGAZA KUWA YEYE NI BIKIRA NA KUINGIA KWENYE KASHFA YA KUSAGANA NA MREMBO MWENZAKE SASA AVALISHWA PETE YA UCHUMBA...JIONEE PICHA HAPA

Iliwahi kuripotiwa hapo awali kuwa Diana Kimario anajihusisha na maswala ya usagaji, na kabla ya hapo aliwahi kutamka mwenyewe kuwa hajawahi kufanya mapenzi na mwanamme yeyote tangu azaliwe, vile vile Diana aliwahi kunukuliwa akisema kuwa "Kamwe siwezi kumvulia ch*pi mwanaume aliyetembea na Lulu Michael ambaye ni shoga yake kipenzi"  Jana kupitia mtandao wa instagram Diana aliachia picha akivalishwa pete, Haijulikani kama ndiyo kweli amevalishwa au ni maigizo yao


credit:swahilitz
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: