BALAA..!! JESHINI LAZMA UGANGAMALE MTOTO WA KIUME..TAZAMA MAZOEZI NA ADHABU ZA KIJESHI ..NI NOMAAA

 Kwa haraka haraka hao ni wakosaji,walidharau amri za mahali fulani kwa bahati nzuri wakakutana na aliyetunga amri hizo,sasa wameambiwa wapige mbizi  ambaye hataonekana kabisa nikimaanisha atakayezamia kwa sekunde kumi atakuwa amepona.angalia hapo kila mtu ana style yake.

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: