RAY AWASHUKIA WOTE WANAOINGILIA MAPENZI YAO,ASEMA MBONA WAO NI WAZINZI HASEMI????!!!
Msanii wa filau, Vicent Kigosi "Ray" amesema
kuwa anashindwa kuelewa ni kwa nini baadhi ya wanawake wamekuwa
wakishabikia mahusiano yake wakati yeye hana habari nao wala hajawahi
kufuatilia mambo yao....
Alisema kuwa kutokana na hilo sasa anaamua
kufanya mambo yake kimya kimyan kwani baadhi ya wasanii wa kike
wamekuwa na tabia ya kuingilia mapenzi yake kwa lengo la
kuyaharibu.....
"Kwa nini mimi ninapokuwa na mpenzi wangu
baadhi ya wasanii wa kike wamekuwa wakishabikia sana, hapo nashindwa
kuelewa.
"Nipo na Chuchu Hans, lakini wanapiga kelele
hadi inakuwa kero.Mbona wao wanafanya uzinzi na hakuna
anayewasema?"...Alihoji Ray

0 comments: