HIVI HII SHERIA YA KUPINGA MILEGEZO IKIJA BONGO ITAKUWAJE.?? SOMA HAPA KUIJUA NA KUTO MAONI YAKO

mlegemlegeUnaambiwa Meya wa Pikevile katika mji wa Tennessee Marekani,bwana Phil Cagle amepiga marufuku milegezo yote katika mji wake na endapo ukionekana tu na mlegezo unalipa faini hapo hapo. Sasa ishu ni kwamba ukikamatwa tu ukiwa umevaa mlegezo unatozwa dolar 25 hadi 50 ambayo kibongo bongo ni zaidi ya 40,000 na 80,000 ingawa sasa haijajulikana vipimo gani atakavyokuwa anatumia kujua kama huu ni mlegezo au sio wenyewe. Ingawa kwa hesabu aliyoisema ni kwamba adhabu hii itawahusu wale wanaoshusha suruali zao kwa nchi 3 kutoka kiunoni ambapo meya huyo amechukua hatua hiyo baada ya kuona mavazi hayo hayako sawa. Source:Uhuru
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: