AIBU KUBWA HII..!! KWA MAVAZI HAYA DADA ZETU MNAPOTEA, HUO NI UCHOCHEZI WA NGONO ZEMBE...SERIKALI ILIANGALIE HILI
Miongoni
mwa wadada wengi siku hizi wanapokuwa katika kumbi za starehe ufanya
mambo ya ajabu kupita maelezo, aidha kwa kuvaa nguo ambazo zinaonesha
maungo yao au ata kujifunua makusudi na wakati mwingine ata kukaa vibaya
mbele za macho ya watu. Mi naamini kila jambo
lina makusudio yake uenda makusudio yao ni kupata wanaume kiuraisi
nikiwa na maana kuwa wanajiuza kwa sababu kama mtu unajiheshimu uwezi
kuonesha nyeti zako kwa watu. Wengine wanafanya vituko wakiwa wamelewa
je ni kweli pombe ndiyo imewapelekea wayafanye hao? Kama ni pombe mbona
watu wengine wanakunywa na hawafanyi mambo kama haya?! Jamaani si kila
mlango uliofungwa sharti ubishe hodi uenda kukawa hakuna mtu ndani, yani
namaanisha wadada wanaovaa nguo ambazo zinawaonesha sehemu zao za siri
inawezekana hawana wapenzi na kama wanao wapenzi basi ni mapunguani kama
wao. Sina mengi ya kuzungumzia machafuko ya macho ila unaweza kupata
maana nyingi kwa kuangalia picha hapo juu.
0 comments: