PICHA ZA MITEGO ZA SHILOLE NA SERENGETI BOY WAKE ZAZUA MANENO NA COMENT NYINGI MTANDAONI...JIONEE WADAU WALICHO COMMENT
Mwanadada Shilole ambaye ni Muigizaji, mwanamziki, socialite,
nk...Anashutumiwa kuwa rekodi ya kuwa na mahusiano ya kimapenzi na
vijana ambao inasemekana amewazidi UMRI...Hivi karibuni kupitia mtandao
wa INSTAGRAM, mwanadada huyu amekuwa akipost picha zenye
utata..zikiashilia yuko kwenyemahusiano na kijana mmoja (jina lake
halikufahamika)...Sasa hizo picha ndio hasa chimbuko la wadau kuanza
ku-comment- positively na negatively.....!!!


0 comments: