INATISHAA..!! TAZAMA VIDEO UJIONEE JINSI BASI LA HOOD LILIVYO TEKETEA KWA MOTO..

Habari za basi la Hood kuteketea kwa moto likitokea Mbeya njiani kuelekea Arusha zimetoka na kusambaa sana April 29 2014 jioni na hakuna mtu aliyepoteza maisha lakini watu wanaofikia 40 wamejeruhiwa huku 55 wakinusurika kifo.
Hii ni video ikionyesha jinsi basi hilo likiteketea kwa moto Chalinze Pwani.
BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA VIDEO HIYO 
BONYEZA HAPA, LIKE PAGE YETU 
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: