UKISOMA HII LAZMA UTOE CHOZI..!! HUU NDIYO UJUMBE WA MTOTO WA MAREHEMU GEORGE TYSON KWENDA KWA BABA YAKE ALIYETANGULIA MBELE ZA HAKI
Jana
simanzi ma majonzi vilitawala katika viwanja vya Leaders Club wakati
mamia ya watu walipokuwa wakiaga mwili wa muongozaji wa filamu na
vipindi vya televisheni, George Tyson aliyefariki katika ajali ya gari.
Moja kati ya matukio yaliyowatoa
machozi mamia ya watu waliohudhuria katika tukio la kumuaga Tyson, ni
pale mtoto wake wa kike aitwae Sonia alipokuwa akitoa neno/ujumbe wa
kumuaga baba yake.
Sonia aliongea kwa majonzi maneno yaliyosababisha watu wengi watokwe machozi.
“You
were kind na rafiki yangu kipenzi. Ulikuwa mtu ambaye ni rahisi kuongea
nae na kunielewa. Daima ulikuwa unanitunza na kunidekeza. Na mara ya
mwisho kuonana na wewe wiki iliyopita ulinambia ni jinsi gani
nimekufanya uwe pride na mimi. And moreover I sing…I take a breath away.
Na ninakuahidi, sitaacha kuimba kwa ajili yako. Nataka ufahamu kwamba
nitakupenda milele. I will always Love You dad. Rest In Peace.”
Sonia ni mtoto wa marehemu aliyempata na muigizaji Monalisa ambaye pia ni mtangazaji wa 100.5 Times Fm.
Misikilize hapa:
BOFYA HAPA KUMSIKILIZA
Misikilize hapa:
BOFYA HAPA KUMSIKILIZA
0 comments: