TAZAMA PICHA YA DIAMOND PLATNUM NA RAISI KIKWETE HUKO NEW YORK MAREKANI..



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete masaa machache yaliyopita alipokutana na msanii wa muziki wa kizazi kipya, Diamond Platnumz, Manhattan, katika jiji la New York.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: