HAYA SASA NI MAHABA NIUE, JIONEE SHILOLE ANACHOMFANYIA MPENZI WAKE HAPA..


#AGE IS JUST BUT A NUMBER: Mwanamama SHILOLE KIUNO ameonekana akimfanyia kitu ambacho watu wengi wamehisi ni MAHABA NIUE kwa mpenzi wake ambae inasemekana ni KIJANA mdogo kiumri ukimlinganisha na SHISHI BEBI, Anaitwa MZIWANDA (nadhani ni msanii .....nikimsikia XXL).

Kupitia ukurasa wake wa INSTAGRAM mwanamama huyo ambae kwasasa anatamba na SONGI la CHUNA BUZI (kazi kweli kweli) aliweka picha amabayo inaonyesha akivalishwa VIATU na Mpenzi wake na kuandia "Kupendwa Rahaa" 

Kama kawa Followers wake wakaanza KUKOMENTI...Trend ya comments nyingi zilionyesha kuunga mkono kitendo hicho.....Sasa ni zamu yako mdau ....Sema chochote hapa


TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: