DUNIA IMEISHA JAMANI..!! MTOTO WA KIKE WA "R KELLY" AJIBADILISHA NA KUWA MWANAUME, JIONEE PICHA ZAKE 5

Dunia inasurprises nyingi, kuna watu hawapendi muonekano wao na hufanya juu chini hata kufanya upasuaji ili wawe na sura ya mvuto lakini wapo wengine ambao hawapendi kabisa jinsia waliyopewa na Mungu. jay na r kelly 
Mtoto wa mfalme wa R&B, Robert Kelly aliyezaa na muigizaji Andrea Kelly aliyewahi kuwa mke wake ameipinga jinsia yake na kujiunga na kundi la watu wanaoishi kwa mtazamo tofauti na jinsia zao na kujibadilisha kuwa jinsia tofauti japo sio kwa kubadili viungo vya uzazi (Transgender/FTM).
Mtoto huyo wa kike mwenye umri wa miaka 14 anaefahamika kwa jina la Jaya Kelly, hivi sasa anaitwa Jay Kelly na anaonekana kujuta kuzaliwa msichana. Jay kabla Hata hivyo, ameona bado hajachelewa na amebadili muonekano na aina ya maisha yake. Jay Kelly ni miongoni mwa watoto watatu wa R Kelyy aliozaa na Andrea. Wengine ni Joann Kelly na Robert Kelly Jr.
Huu ni muonekano wa sasa wa Jaya aka Jay: jaya baada aJaya akiwa na mama yakejay baada c
credit : sammisago
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: