TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI..!!HAYA NDIYO MADHARA YA DAWA ZA KUONGEZA MAKALIO, WADADA TUJIFUNZE KITU HAPA
Matumizi ya dawa za kuongeza biceps kama sythol huwaletea madhara makubwa hasa wale wanaotumia kukuza misuli yao.
Sisi
tunaishi katika ulimwengu ambapo wanawake wanakufa kwa ajili ya ‘uzuri’
, wanawake wanataka midomo iliyo kamili, tako liloumuka , matiti saa
sita figure kama la masogange.
lakini ukweli kua wakina dada wanakufa
wakitafuta uzuri.wasichana wengi wanakuwa wanajihusisha na madawa aina
mbalimbali ili kurekebisha rangi za ngozi zao ama matako yao au chchu
zao ila madhara yake ni makubwa sana hasa pale wanapotumia chemical za
sumu.
Synthol wakati mwingine kulipuka na makalio yako kuishia kuungua kama hivi
Je, uwezekano wa kupoteza miguu na mikono yako kwaajili ya matako ?

0 comments: