PRODUCER WA WIMBO WA DIAMOND MY NUMBER 1 AWATUPIA LAWAMA ZAKE WAANDAJI WA KTMA KWA KUMNYIMA TUZO
Producer
Sheddy Clever ambae ni Mwandaaji wa Wimbo wa Diamond Number 1
uliochukua Tuzo Nyingi katika Tuzo za Kilimanjaro Awards zilizofanyika
Juzi, Ameonyeshwa kukerwa Kwa Kukosa Tuzo ya Producer
Bora Wakati Wimbo huo Umechukua Tuzo Nyingi ikiwemo ya Wimbo Bora ,
Amekaririwa akisema "Sasa ndugu zangu inakuwaje nisipewe tuzo ya
Muandaaji bora wa Music wakati Number one imekuwa mwimbo bora wa
Mwaka..na imemfanya Diamond Apate Tuzo Tano?
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!
0 comments: