MKOROGO NI NOMAAA...!! TAZAMA PICHA ZA DVJ PENNY ALIVYOKUWA KABLA AJAANZA KUTUMIA MKOROGO, ALIPOKUWA NA MAHUSIANO NA DUNGA...

Katika Picha Hizi Hpo Chini zinamuonyesha aliyekuwa mpenzi wa Diamond Platnumz Dvj Penny alivyokuwa miaka hiyo kabla mkorogo na Camera 360 hazijaingia tz, Katika picha hizo zinamuonyesha Dvj Penny akiwa amekaa kimahaba na producer wa muziki alijichukulia jina kubwa kutokana na kazi zake DUNGA, ambaye inasadikika alikuwa mpenzi wake miaka hiyo.
Akiwa na Dunga
Picha Kwa Hisani Ya Jipange101

credit:swahilitz
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: