LULU MICHAEL AZUNGUMZA MAZITO JUU YA MABOSI WANAOPENDA RUSHWA YA NGONO KWA WASANII WA KIKE KABLA AU BAADA YA KAZI

“Imezoeleka kuwa mabosi wote hawawezi kufanya kazi na msanii bila kuomba penzi, si wote, wapo wasioomba,” alisema Lulu ambaye aliwahi kutajwa kuwa anatembea na mmoja wa mabosi wake wa sasa.

0 comments: