KWA STAILI HII, BATULI ANAELEKEA KUVUNJA HESHIMA YAKE KWA MOVIE ZA KIJINGA. STORI NA PICHA HAPA
BONGO
movie artist maarufu kama Batuli sasa aja na kali ya mwaka, kali hii
imewashangaza wengi sana hapa nchini kwani ni msanii ambaye alikuwa
akiheshimika sana ila kwa hili nadhani anategemea kujivunjia heshima
juzi alifanya interview na moja ya media na akafunguka kuwa yupo tayari
kuigiza movie hata za nusu utup*u haya sasa ajali ndio hiyo wadau wa swahiliTz

0 comments: