KWA JAMBO HILI MSANII RAY C ANAPASWA KUPONGEZWA JAMANI JINSI ANAVYOPAMBANA NA MADAWA YA KULEVYA, JIONEE HAPA
Leo Ray C Foundation tuliwatembelea waathirika wa madawa ya kulevya
Kinondoni!!!nimeongea nao sana na kuwahamasisha waje kupata Tiba ya
Methadone Mwananyamala....nimefurahi sana kusikia kutoka Kwao kwamba na
wao wamechoka na Maisha ya utumwa......
0 comments: