KUMBE MATITI HUTUMIKA NA WAREMBO WA SIKU IZI KAMA SIRAHA YA KUVUTIA WANAUME..?? SOMA HAPA KUJUAKUJUA



Chuchu ni moja ya kitu kikubwa sana ambacho huwavutia wanaume wengi,kwakutumia chuchu mwanaume anaweza akachachawa kwa namna ya ajabu sana ndio maana kwa
baadhi ya wadada hutumia nyonyo zao kama silaha yakupata chochote wanachotaka kwa mwanaume. 
Hii ndio sababu maana baadhi ya wadada hupenda kutundika chuchu zao ndani ya nguo ambayo wanajua fika lazima mwanaume ukome na roho 

yako au kujuta kwa nini umezaliwa.

Sex nyonyo ni aina ya chuchu ambazozimetokea kupendwa sana majanadume mengi kwani ni portable,zina mvuto wa pekee na uzuri wake kwakweli mpaka nshindwa nisemeje,lakini kwa ufupi tu hizi nyonyo ni ndogo za wastani zenye mchongoko kwa mbaali ambazo kwa harakaharaka waweza fananisha na vitoto vya maparachichi. 

Naam  kama una nyonyo aina hii kwa kweli utakubaliana na mimi kwamba unapata usumbufu mkubwa sana kutoka kwa wakaka hata kama sura hailipi kiviile, kutokana na ukweli kwamba chuchu huweza kumvuta mwanaume na kumfanya asiangalie vigezo vingine kama vile sura.

Kama unanyonyo aina hii hongera sana na kama hujajaaliwa za aina hii usijali wala nini wapo wanaume pia huzimika na chuchu kubwa na zenye maumbo tofauti wala huna haja ya kutumia madawa ili kuzitengeneza za aina hii kwani madawa huwa na madhara makubwa sana baadae.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: