KAMA BADO UJAIFAHAMU, BASI, HII NDIYO COMEDY YA MAPENZI ILIYOFUNGIWA HUKO KENYA..TAZAMA VIDEO YAKE
“House of Lungula” ni comedy ya kwanza ya mapenzi inaonyesha maisha
halisi ya kimapenzi ya jamii za watu wa Africa hasa wa Kenya, movie hii
ni ya comedy iliyoruhusiwa kuangaliwa na watu wazima tu, kutokana na
mambo yanayotendeka ndani ya filamu hiyo, waigizaji maarufu wengi ambao
hukutegemea kuwepo wamehuika humo ndani. 
“Recent example is the unofficial ban of the comedy’s TV commercial from by leading Kenyan broadcaster, which earlier this year has also canceled the cast’s appearance on a prominent talk show because the name of the film is not decent for their audience!,” alisema producer wa movie hiyo. Hii ndiyo kipande cha filamu hiyo.
0 comments: