JACKLYNE WOLPER AZUNGUMZA MANENO MAZITO JUU YA KASHFA YAKE YA KUPIGA PICHA YA UTUPU NA KUANIKA MTANDAONI..

Kwa sasa Instagram ndio mtandao wa kijamii unaoongoza kwa kutoa habari mbalimbali za wasanii, mabifu na makundi mengi yapo huko.Lakini hii kwa Jaqckili Wolper imekuwa tofauti kidogo baada ya kukerwa na kitendo cha picha ya nusu utupu hapo juu katika mablog mbalimbali iliyosemekana ni ya kwake.. bila kuchelewa ameama kufunguka la moyoni kabisa!

TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: