HUYU NDIYE MREMBO WA OMMY DIMPOZ...TAZAMA PICHA YAKE HAPA
Mastaa wa
muziki wa Marekani wanafahamika kwa desturi yao kuwatambulisha wapenzi
wao hadharani na kwenda nao kwenye matukio mbalimbali. Tanzania ni
tofauti hata hivyo. Ni mastaa wachache wenye ujasiri wa kuwaweka
hadharani wapenzi wao, mfano mzuri akiwa Diamond Platnumz. Mastaa
wengine akiwemo Ommy Dimpoz hawajawahi kuwatambulisha wapenzi wao
hadharani labda kama ni tetesi tu. Ommy Dimpoz ameshare picha kwenye
Instagram akiwa na mrembo ambaye hata hivyo hajafafanua kama ni mpenzi
wake ama rafiki tu.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!
0 comments: