Hii ni zaidi ya laana, nami sina la kusema, tumwachie Mola atahukuma,
maana huyu zamani alikuwa kijana handsome boy wa maana, leo hii
kajigeuza na kuwa msichana kwa matakwa yake, angalia picha zaidi hapo
chini.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!
0 comments: