HII NDIYO VIDEO MPYAA YA YA WIMBO WA KOMBE LA DUNIA YA SHAKIRA, MASTAA MESSI,NEYMAR NA WENGINE NDANI
Nadhani
wote mnakumbuka ule wimbo maalum kwa ajili ya michuano ya kombe la
dunia mwaka 2010 wa ‘wakawaka’ ulioimbwa na Shakira ambapo this time
kwenye kombe la dunia baada ya ule kufanya vizuri… mwaka huu Shakira
amepata shavu jingine la kufanya wimbo wa kombe la dunia litakalofanyika
Brazil kuanzia mwezi ujao.Wimbo huo umepewa jina la La La La (Dare) na video yake tayari imetoka na ndani yake imehusisha familia nzima ya Shakira, mwanae pamoja na mpenzi wake ambaye ni mwanasoka wa FC Barcelona na timu ya taifa ya Spain Gerard Pique.
Wachezaji wengine walionekana kwenye video hiyo ni Lionel Messi, Aguero, Radamel Falcao na wengine wengi itazame hapa chini…
0 comments: