HII NDIYO KAULI YA MADEE KUHUSU KUTOKA KIMAPENZI NA JINI KABULA..MSIKILIZE HAPA

Rais wa Manzese Madee kwa sasa inasemekena ana uhusiano wa kimapenzi na mmoja kati ya wakina dada wanaotokea kiwanda cha filamu Tanzania Bongo Movie Jini Kabula,Soudy Brown kaongea na Madee ambapo hiki ndicho  alichokizungumza Madee baada ya swali hilo. Madee>>’Mimi bado sitoki mtu,nikiwa tayri nitawaambia mbona mwanzi nilipokuwa natoka na Yule wa mwanzo niliwaambia kwa hiyo ikiwa tayari nitawaambia,huyo kabula mi mshkaji wangu kuna kazi tunafanya itakuja mtaona. Soudy Brown  alipomuuliza kuwa mbona mtaani wanaonekana sana wakiwa pamoja kama madukani,kuogelea na sehemu tofauti Madee amejibu >>’Hakuna kitu kama hicho. 88.4 Clouds Fm inasikika ukiwa Mtwara. Bonyeza play kusikiliza.
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: