HABARI YA KUSIKITISHA..!! MTANZANIA MWINGINE AFARIKI NCHINI INDIA KWA BIASHARA HII HAPA
Ikiwa bado
serikali inajipanga kupunguza human trafficking, huko nje mambo
yanaendelea kuwa mabaya kwani mtanzania wa pili amefariki. Wa kwanza
alifariki huko China na huyu wa pili anefariki nchini India katika jiji
la New delhi. Mrembo huyo anaeishi tabata anaeitwa Neema Katabwa aliamua
kwenda india kujitaftia maisha na baada ya kufika nchini India ndio
akaanza biashara hiyo ya ukahaba mpaka pale alipokutana na mnigeria
anaeitwa Akuba na kuamua kumuweka ndani.
Neema aliamua kukaa na Mnigeria huyo mpaka pale mauti yalipomkuta kwani source inasema mnigeria huyo hakujua kama Neema bado aliendelea na kazi yake ya ukahaba mpaka pale alipomkuta na ndio matatizo yalipotokea.Inasemekana mnigeria huyo alimpiga sana mpaka hali yake kuwa mbaya na kuweza kukimbizwa hospitali mpaka mauti kumkuta. Kwa sasa ameletwa nchini kwa ajili ya mazishi lakini source inasema kuna rafiki yake anaeitwa Mercy anajua exactly kilichomkuta Neema huko New Delhi.
Kwa kweli hili sula la dada zetu kufanya biashara haramu limezidi kukithiri kila tukiamka na wanaopeleka dada zetu huko wanajulikana kwani huwa wanawapeleka kwa mkopo na mtu anahitajika kufanya biashara hiyo mpaka alipe deni la dola 35000 au hapewi passport yake.

>>Udakuspacially blog
0 comments: