DUU SOMA HII KWA MAKINI..!! MWANAMKE MWENYE NDEVU ATANGAZWA KUWA MSHINDI...
Mwanamuziki
wa Austria Conchita Wurst ambae ana miliki headlines za kuwa Mwanamke
mwenye ndevu kama mwanaume ameshinda kwenye mashindano ya muziki barani
Ulaya yaitwayo Eurovision Song Contest ambayo yalikua na watazamaji wa
TV zaidi ya milioni 120.Mashindano yalifanyika Copenhagen nchini Denmark mara ya mwisho mwanamuziki kutoka Austria kushinda mashindano hayo ilikuwa mwaka 1966 ukiwa ni mwaka ambao Atletico Madrid ilishinda La Liga na Real Madrid walishinda ubingwa wa Ulaya.
Hiyo inaweza kujitokeza tena mwaka huu kwani Atletico wanakaribia kushinda La Liga na Real ndoto zao ni La Decima.
0 comments: