DUU..!! MAJINI HALISI YA WASANII 10 WA BONGO, LAZMA YAKUACHE MDOMO WAZI..SOMA HAPA KUYAJUA
Tumezoea kwa wasanii wengi wa Bongo fleva kwa kuwajua kwa majina yao
ya kisanii, wasanii wengi wamekuwa wanatumia kifupi cha majina yao
halisi, ila mengine wengi wanakuwa wanatumia majina tofauti kabisa,
wengi huamini kuwa wangekuwa wanatumia majina yao halisia, wasingeweza
kuwa na utofauti wa ki-status hapa town kama ilivyo hivi sasa, hivyo
kutengeneza majina wanayotumia kwenye sanaa ya muziki, na kupelekea
mashabiki wengi wa wasanii hawa kutojua kabisa majina yao haya,.hawa ni
baadhi tu ya wasanii wa bongo
Snura, Jina lake halisi ni ‘Snura Mushi’
Queen Darleen, Jina lake halisi ni ‘Mwajuma Abdul Juma’.
Jux Vuiton, Jina lake halisi ni ‘Juma Mussa Mpolopoto.’
Shetta, Jina lake halisi ni ‘Nurdin Bilali’
Izzo bizness, Jina lake halisi ni ‘Emmanuel Simwinga’.
Quick Racka, Jina lake halisi ni ‘Abbott Charles’
Shilole, Jina lake halisi ni ‘Zuwena Mohamed’.
Ommy Dimpoz , Jina lake halisi ni ‘Omary Faraji Nyembo’
Roma, Jina lake halisi ni ‘Ibrahim Mussa’.
Belle 9, Jina lake halisi ni ‘Abelnego Damian’.

0 comments: