AIBUUU...!!! MISS RUVUMA "ISABELA" AVUA NGUO HADHARANI NA KUACHA WATU WAKISHANGAA..JIONEE HAPA
Mbovumbovu
za staa! Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda amedhihirisha jinsi alivyo
hamnazo baada ya kuvua nguo hadharani na kuacha nyeti nje bila kujali
watu waliokuwa wakimshangaa.
Isabela Mpanda akimwaga radhi ukumbini.
Tukio
hilo la kushangaza lilitokea Alhamisi iliyopita kwenye Ukumbi wa
Mawela uliopo Sinza, Dar ambako kulikuwa na kitchen party ya mwigizaji,
Vanita Omary ambapo Isabela aliwashangaza watu baada ya kuacha nyeti
nje.
Bila
chembe ya aibu, Isabela akivalia gauni fupi akiwa tilalila, alikuwa
akicheza muziki huku akilinyanyua gauni juu na kuacha sehemu nyeti za
makalio nje na kusababisha ‘kufuli’ yenye muundo wa bikini kuonekana.
Miss Ruvuma 2006, Isabela Mpanda wakati akiingia ukumbini.


Ishu hiyo ilizua minong’ono kwa baadhi ya wageni waalikwa na kubaki wakimshangaa kwa kitendo hicho na kudai kuwa ni hamnazo.
Akiwa
anafanya tukio hilo la kujifunua alisikika akisema amepania sherehe
hiyo kwani yeye ndiye wifi wa Vanita na kama mwigizaji Jacqueline
Wolper aliacha kufuli lake kubwa wazi na yeye aliamua kuonyesha lake
aina ya bikini nje ili lionekane kwani ni la bei kubwa.
Isabela Mpanda akinyonyana ndimi na baby wake Luteni Kalama.
“Mh,
kweli huyu Isabela hamnazo yaani anajifunua mbele za watu, hata
haogopi, ukweli anatia aibu lakini afadhali wanaume hawapo maana
wangekuwepo ingekuwa aibu zaidi,” walisikika wasanii wawili
wakijadiliana huku wakimkodolea macho mwanadada huyo.


0 comments: