+18...VIDEO NYINGINE YA NIGERIA INAYOVIPA TABU VITUO VYA TV KUICHEZA...ITAZAME HAPA

Kwa mujibu wa ripoti iliyoifikia millardayo.com nchi ambayo imeongoza kwa kufungia video Afrika Mashariki ni Rwanda ikifuatiwa na Kenya kisha Tanzania.
Hii video ya leo ni ya msanii wa Nigeria anaitwa Timaya akiwa na Mjamaica Sean Paul kwenye remix ya bum bum ambayo imepokea maoni tofauti kwenye mitandao mbalimbali baada ya hawa warembo kuonekana ndani yake walivyovalia.






BOFYA HAPO CHINI KUANGALIA VIDEO
https://www.youtube.com/watch?v=V4tWUJKiT1M

0 comments: