Mwanafunzi
huyo anayetumia Ac Feki ya Instar anaposti picha za wanafunzi wenzake
na kuwaponda kuwa ni malaya wanaouza K.... pamoja na kuwachafua wengine
kuwa ni mashoga. Baadhi ya wanafunzi walio wengi wa CBE
wamechukizwa na kitendo hicho cha kuchafuliwa bila sababu yoyote na
wamedhamiria kumsaka huyo mtu kwa gharama yoyote ili aweze kuwajibishwa:Instargram anatumia jina LEE_IN_BOY |
0 comments: