PICHA ZAIDI YA 15...!! USIKU WA MASTAA NDANI YA DAR LIVE NI NOMAAAA JIONEE HAPA
Kundi la Scorpion Girls likiongozwa na Isabela Mpanda (katikati) likiporomosha burudani wakati wa Tamasha la Usiku wa Mastaa wa Filamu lililofanyika Dar Live usiku wa kuamkia leo.
Mrembo Jacqueline Wolper akiwapa 'hi' mashabiki.
Jacob Steven 'JB' akionyesha umahiri wake wa kusakata rhumba wakati wa tamasha hilo.
Steve Nyerere naye akionyesha manjonjo yake stejini.
Mastaa wa filamu wakiwa jukwaani kuwasalimia mashabiki waliofurika ndani ya Dar Live.
Snura Mushi akiwapagawisha mashabiki.
Msanii Afande Sele akiwarusha mashabiki ndani ya Dar Live.
0 comments: