MTOTO WA KAJALA ATOA YAKE YA MOYONI KUHUSU UGOMVI WA MAMA YAKE NA WEMA SEPETU..

Paulette alikuwa akizungumza na ‘Movie Leo’ ya kipindi cha Leo Tena cha Clouds FM.
“Vimekuwa vinaniuma sana ila hata kama wakisema vitu vyote ataendelea kuwa mama yangu,” alisema. “Mimi naona mama yangu hana makosa yoyote wanavyomtukana,mimi nakuaga najisikia sana vibaya. Namwambia (Wema) mama yangu Hata kama amekoseA kitu chochote amsamehe kwasababu mimi nampenda Wema kama aunt yangu na ninampenda mama yangu tena sipendi nikiona wanatukanana wala nini napenda wawe marafiki,nataka nimwambie Wema nampenda sana,” alisema. Paula.

0 comments: