HII NI NDIZI DAY..!! WASANII WA BONGO NA WANASIASA NAO WALA NDIZI KUPINGA UBAGUZI WA RANGI
Mtangazaji wa MKASI TV Salama Jabir
kupitia page yake ya instagram @ecejay amepost picha ya mastaa kadhaa wa
bongo wakiwemo wasanii D-Knob, Godzilla Producer Marco Chali na wengine
wakiungana na wabongo kama Mbunge Zitto Kabwe na wengine duniani
kupinga ubaguzi wa mchezaji wa Barcelona Dani Alves wa kutupiwa ndizi
uwanjani.

0 comments: