AIBUU..!! TAZAMA VIDEO YA WAREMBO 3 WALIOKAMATWA WAKIFANYA MAMBO YA AJABU HADHARANI..JIONEE MWENYEWE HAPA
Wasichana watatu wa Oregon, Marekani wamekamatwa na polisi Jumatatu hii kwa kutwerk (kukatika kwa kutingisha makalio) hadharani na kuwatamanisha wanaume kimapenzi
Coura Velazquez, Brittany Medak na Leokham Yothsombath waliokamatwa na polisi
Kama haitoshi, wasichana hao walionesha pia nyeti zao ambapo mmoja
alibinua sketi yake na kutanua miguu katikati ya magari mawili kuonesha
sehemu hizo. Mmoja wa wanawake hao, Leokham Yothsombath alionekana
akirekodi tukio hilo kwenye simu. Video hizo azijasambaa Youtube kwakuwa
walikamatwa na polisi na kukutwa pia na madawa ya kulevya.
Wasichana hao ni Coura Velazquez, Brittany Medak na Leokham
Yothsombath. Polisi wa Beaverton wamesema kuwa Coura Velazquez alienda
kwenye mahakama ya manispaa kulipa faini na yeye na marafiki zake wawili
walipoondoka kwenye jengo hilo walianza kukatika mbele ya mahakama hiyo
huku watu wengi wakishuhudia. Velazquez na Brittney Medak, ambao wote
wanatokea Vancouver, walionesha nyeti zao wakati wakitwerk na Medak
alinyanyua sketi na kujisaidia haja ndogo katikati ya magari mawili.
Watatu hao walipanda kwenye gari la Medak na kukimbia japo hawakufika
mbali kabla ya kukamatwa na polisi. Ndani ya gari polisi walikuta
bangi, cocaine na madawa mengine. Wanakabiliwa na makosa mengi na bado
wapo polisi.

0 comments: