BIFU LA WEMA NA KAJALA SASA TUPA KULE, SASA HIVI NI MARAFIKI KAMA ZAMANI, NA HIVI NDIVYO WALIVYO PATANA
Unaweza kuona kama bado drama
zinaendelea lakin ni kama movie imefika mwisho, kwani wale wakali wawili
waliotengeneza headline hapa mjini kwa social media wamepatana, Kajala
Masanja na Wema sepetu. Hii imetokea jana kwenye msiba wa director na
aliyekuwa mzazi mwenzie Monalisa.

Wawili
hao walitofautiana kwa sababu wanazojua wao wawili na Instagram
kuchochea ugomvi na kuwasemea vitu ambavyo hata wawili hao hawajaongea
mwisho wa siku Wema na Kajala ikawa wanapishana kama train za Umeme au
bus ya mwendo kasi but final wamepatana na kupeana mikono .lets hope
wamesafisha mioyo yao na waishi kama zamani.

0 comments: