WAFAHAMU WASANII 6 WA KIKE WALIVYOKUA MWANZO KABLA YA KUANZA KUTUMIA MKOROGO
Ukizungumzia mambo yetu yale kwa watoto wa kike basi ni wazi utakua unazungumzia swala zima la urembo. Kuna tafsiri nyingi za msichana mrembo lakini kwa hawa dada zetu wa kike waliamua kuongeza urembo wao kwa kuweka mkorogo “bleaching” , full u-michael jackson
Penniel Mungilwa ‘DJ Penny’
Jackline Wolper
Wema Sepetu
Shilole
Ray C
Ruth Suka ‘Mainda‘

0 comments: