MMHH KWELI USUPASTAA NI KAZI..!! MASOGANGE AISHIWI PICHA ZA UTUPU INSTAGRAM , TAZAMA PICHA ALIYOIANIKA
Hodari wa kutupia picha zenye utata katika mitandao ya kijamii na
kujikuta anajipatia umaarufu mkubwa kwa tabia hiyo yakuachia umbo lake
matata hadharani Agness Gerard aka Masogange au mama wa Mibegi.
Ameibuka tena kwa kutupia picha ambayo haina maadili ya kitanzania
katika mtandao wa kijamii Istagram, picha hiyo ikimuonesha mwanadada
huyo akiwa amevalia kiguo ambacho kimemuweka wazi sehemu kubwa ya mwili
wake ikiwemo mapaja, kitovu, mgogo na kiuno.
0 comments: