KWELI PESA NDIO KILA KITU..!! FAHAMU PESA ANAYOTUMIA MSANII DIAMOND PLATNUMZ AKIWA TOUR ZA NJE.
Waandaaji wa show nyingi wametokea kumlinganisha sana umaarufu wa
Diamond na Davido bila kupata jibu kamili, na kama unadhani ni wasanii
wa nje tu ndio wenye mahitaji makubwa katika kufanya show zao, kama
ulikuwa hujui basi hii, ukijua unaweza ukae chini na uanze kufikiria
upya mtazamo wako, na hii ndio sababu Diamond Platnumz atazidi kuwa si
msanii tu wa kawaida bali ni moja kati ya wasanii wengi wa kimataifa.
Mtonyo mpya anaochota Diamond katika show umetokea kuwapa shida waandaaji wa show,
Imeripotiwa wandaaji wengi wa nchi za nje wa matamasha, wadai kuwa,
ingawa Davido ni msanii mkubwa sana kulingana na Diamond, ila mahitaji
ya Diamond hadi kumpandisha kupiga show moja ni ya kutisha unaweza sema
ni kama unamleta Jay-z.
Unaambiwa Davido yeye huwa unamwachia anachiw mtonyo wa shilingi 85 tu,ila kaa utulie usikilize mahitaji haya ya Diamond:
Kwanza bila kumtonyesha kuanzia milioni 45 kwenda juu, utaishia kuongea naye kwenye simu tu, bila hata ya kuona sura yake, achana na hiyo basi kwanza kama umeshatenga hilo fungu na kufanikisha kumuita kupiga ku-sign contract yake, inabidi umsafirishe kwa private jet au first class plane, akishatua uwe umeshandaa presidential suit katika hoteli yeyote yenye hadhi ya nyota tano, kama ni Bongo ni Serena hotel pale kiroho safi, wakati huohuo uwe umashatenga vyumba maalumu vikubwa kwa ajili ya Dancers wake, vitu vingine ni watu kuwahudumia watu sita anaotembea naye, microphone ya pekee na vyakula atavyohitaji yeye, viwe teyari umeshaweka order vitengenezwe, kama anavyotaka yeye. Kama ulikuwa unamchukulia Dangote easy, jipange!.

0 comments: