
Hatimaye
Ommy Dimpoz ameamua kuvunja ukimya kuhusu ile ishu ya kuvaa viatu vya
kike. Itakumbukwa kua sikuchache tu baada ya jarida la VIBE kumuweka
katika ukurasa wa mbele wa jarida hilo watu walianza kumponda Ommy na
kusema kua vile viatu alivyovaa ni vya kike.
Usiku wa leo Dj Fetty kupitia Blog yake aliweka video ya mahojiano
aliyofanya na Ommy Dimpoz katika kipindi cha XXL cha Clouds Fm. Katika
mahojiano hayo Ommy amejitetea sana kua viatu vile sio vya kike bali ni
vya kiume na alivinunua alipokua nchini Afrika Ksini. Unaweza tazama
video ya mahojiano hayo hapa
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!
0 comments: