INASIKITISHA SANAA..!! HUU NDIO UJUMBE WA "JESSSICA KIKUMBI" KWENDA KWA ALIYEKUWA MUME WAKE AMBAO ANASAMBAZA PICHA ZAKE ZA UTUPU
"#ULIYONIFANYIA
#YANATOSHA #PLEASELEAVE ME ALONE..jamani this is the man aliyekua
mumewangu nilizaanae mtoto mmoja. .but as Men are yeye ndo muhusika mkuu
wa kusambaza picha zangu kwenye mitandao na kuwalipa mabloger,pia
kufungua fake acc fb. sijui anachotaka but without thinking mi ni mama
wa mtoto wake. warning ladies dont trust man too much as it might happen
to you one day.. jina lake ni #Emmanuelakarosinare. if you read this
naomba uache kunichafua kumbuka mi nna ndugu na nina mtoto na ndugu
zangu wanaumia sana hasa baba yangu. kupitia hapa nakuomba uniache huru
uliyoyafanya yanatosha.... naandika kwa uchungu with tears.. Set me free please." Says Jessica
My Take:Kama
kweli huyo mume wake ndio anafanya hivyo basi hayupo vizuri kichwani
kwani Jessica ni Mama wa Mtoto wake ambae walizaa nae, Sijui sababu za
yeye kusambaza hizo picha za utupu ila ki ukweli huo si uanaume kabisa
bali ni kukosa Sera na kuonesha udhaifu mbele ya Mwanamke.
Source:Udakuspeccialy
Source:Udakuspeccialy
0 comments: