HAHAHA..!! CHEKA NA VUNJIKA MBAVU APA, UKISOMA HABARI HII LAZMA UCHEKEEE...SHUKA NAYO APA


Jamaa alikatiza kambi ya jeshi. Akapewa adhabu ya kubeba tofali 1,000. Alipofikisha 900 akakumbuka mkuu wa kambi kasima nae, akaenda msemea aliempa adhabu: mkuu akanena "umeshabeba mangapi hadi sasa?" Jamaa akajibu "900" mkuu akanena "basi yarudishe halafu uendelee na safari yako."
TOA MAONI YAKO HAPO CHINI
BOFYA “LIKE” HAPO CHINI KUPATA HABARI ZETU..!!

0 comments: